Swahili Project Part 2

Swahili Project Part 2
  Copy


More Options: Make a Folding Card
Storyboard Description

This storyboard does not have a description.

Storyboard Text

  • John anapenda kula wali, nyama, kuku, na tambi lakini sipendi kula samaki na viazi. Yeye pia anapenda kunywa maji na maji wa machungwa lakini sipendi kunywa maziwa.
  • LIVE CHICKEN MEAT
  • John anacheza soka katika chuo kikuu cha Georgia. Timu wa kikuu cha Georgia ni nguvu. Yeye anapenda kukimbia.
  • John ni mtoto wa pili. Yeye ana kaka mmoja na yeye anaitwa Joey. Joey anafanya kazi katika hospitali. Joey ana miaka ishirini na saba. Yeye ni mfupi, mwerevu, mwembamba, na mzuri.
  • Joey ana mke mmoja, watoto wawili, mbwa mmoja, na paka mmoja. Mke anaitwa Grace. Yeye ana miaka ishirini na sita. Grace hafanyi kazi. Watoto wake wanaitwa Josh na Judy. Josh ana miaka tatu na Judy ana miaka mbili. Mbwa anaitwa Max na paka anaitwa Lucy.
  • John na Joey wanapenda kucheza mpira wa kikapu pamoja na Josh. John na Joey wanafundisha mpira wa kikapu kwa Josh.
  • John ni vizuri mwanafunzi, mtoto, rafiki, na mjomba. Yeye ni mkristo pia na yeye anakwenda kanisa kusali. John anakwenda kanisa Jumamosi na Jumapili pamoja na wazazi wake na familia wa Joey.
More Storyboards By jaewondavidlee
Explore Our Articles and Examples

Try Our Other Websites!

Photos for Class – Search for School-Safe, Creative Commons Photos (It Even Cites for You!)
Quick Rubric – Easily Make and Share Great-Looking Rubrics
abcBABYart – Create Custom Nursery Art