Registration

Registration
  Copy


More Options: Make a Folding Card
Storyboard Description

This storyboard does not have a description.

Storyboard Text

 • Aaah, kumbe hapa kuna duka la Vodacom?
 • Ndiyo, kwani vipi?
 • Vodacom Shop
 • Ni mara ya 2 sasa napokea ujumbe nikakamilishe usajili wa simu yangu wakati nimeshasajili?
 • Ujumbe huo unamaanisha kuwa hujakamilisha usajili, tuwatembelee, tupate maelezo zaidi
 • Vodacom Shop
 • Kweli
 • Vodacom Shop
 • Vodacom Shop
 • Ili kukamilisha usajili unahitaji, kitambulisho halisi na halali ambacho hakijakwisha muda wake na kina picha yako halisi.
 • MTEJA. Hakikisha wakala anaingiza taarifa zako kwa usahihi
 • Vodacom Shop
 • MSAJILI 1. Hakikisha unachukua taarifa za mteja kwa usahihi. 2. Hakikisha unampiga mteja picha yenye kuonekana vizuri 3. Hakikisha unapiga picha kitambulisho cha mteja upande wa mbele vizuri kionekane na kusomeka 4. Na tena unapiga picha kitambulisho cha mteja upande wa nyuma kionekane na kusomeka 5.
 • Vodacom Shop
More Storyboards By mary_changawa
Explore Our Articles and Examples

Try Our Other Websites!

Photos for Class – Search for School-Safe, Creative Commons Photos (It Even Cites for You!)
Quick Rubric – Easily Make and Share Great-Looking Rubrics
abcBABYart – Create Custom Nursery Art