CS Week

צור לוח סיפור
העתק את לוח התכנון הזה
CS Week
Storyboard That

צור Storyboard משלך

נסה את זה בחינם!

צור Storyboard משלך

נסה את זה בחינם!

טקסט Storyboard

  • Ehe, Jane... kuna ile SMS mteja alituma anakusifia umempa huduma nzuri, hebu tupe siri ya mafanikio?
  • Ha ha haa... huwa nawasikiliza wateja, nawaelewa na nahakikisha nawahudumia kwa uchangamfu wakati wote
  • Ni kweli kabisa Rehan, kitu kidogo sana kinaweza kumfanya mteja afurahi mno
  • Kumbe ni rahisi hivyo? Kuanzia leo nahakikisha wateja watafurahia huduma yangu... uchangamfu muhimu ehh
נוצרו מעל 30 מיליון לוחות סיפור